Zubair bin Awwaam (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba katika tukio la Uhud, Rasulullah (sallallaahu ‘alaihi wasallam) alikuwa amevaa silaha mbili. Wakati wa vita, Rasulullah (Sallallaahu ‘alaihi wasallam) alikusudia kupanda juu ya jabali lakini kutokana na uzito wa zile silaha mbili, hakuweza kufanya hivyo. Kwa hiyo alimwomba Talhah (radhiyallahu ‘anhu) kukaa chini …
Soma Zaidi »Monthly Archives: November 2022
Kabla ya Swalaah
1. Jitayarishe mapema kwa ajili ya Swalaah kabla ya muda wa Swalah kuingia, na hakikisha kwamba wewe sio tu umejitayarisha kimwili bali pia unafahamu kiakili kwamba unakwenda kujihudhurisha kwenye mahakama ya Mwenyezi Mungu.[1] 2. Hakikisha kwamba unaswali kila swalaa kwa wakati wake uliowekwa pamoja na jaamaa msikitini.[2] عن أبي هريرة …
Soma Zaidi »