Sunna Na Adabu Za Adhaan

Adhaan – Ilivyo anzishwa na asili yake

Wakati sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) Alifanya hijra (alihamia) kwenda madina munawwarah, aliwasiliana na maswahaaba (radhiyallahu ‘anhum) Kuhusu njia itakayochukuliwa ya kuwaita watu kwenye swala. Ilikuwa hamu iliyokuwa ndani ya moyo wa sayyidina Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwamba maswahaaba (radhiyallahu ‘anhum) wote wakusanyike na kutekeleza swala zao pamoja msikitini. Sayyidina …

Soma Zaidi »