Utabiri Wa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kuhusiana na Sa’d (radhiya allaahu ‘anhu) Kushinda Qaadisiyyah

Katika tukio la Hajjatul Wadaa’, Sa’d (Radhiyallahu ‘anhu) alikuwa ameumwa huko Makka Mukarramah na alihofia kwamba angeaga dunia. Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) alipokuja kumtembelea, alianza kulia. Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) akamuuliza: “Kwa nini unalia?” Sa’d (Radhiya Allaahu ‘anhu) akajibu, “Nahofia kuwa nitafariki katika ardhi ambayo niliifanya Hijrah, na kwa kufariki …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 4

9. Wakati wa kuomba dua, moyo wako unapaswa kulenga kikamilifu na makini kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala). Moyo wako usiwe umeghafilika na kutojali wakati wa omba dua. Hupaswi kuangalia huku na huku na kuwangalia watu pindi unapoomba dua. Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) …

Soma Zaidi »

Khutba Ya Kwanza Huko Madina Munawwarah baada ya Hijrah

Katika tukio la hijra, wakati Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alipoingia kwenye mji uliobarikiwa wa Madinah Munawwarah, watu wengi walikuwa wakimgojea kwa hamu. Miongoni mwao walikuwemo wale wanaompenda Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) -Ansaar wa Madinah Munawwarah – pamoja na Mayahudi na wale wanao abudu masanamu waliokuwa wakiishi katika mji huo. Rasulullah …

Soma Zaidi »

Uthabiti wa Sa’d (Radhiyallahu ‘anhu) Kwenye Imaan Yake

Abu ‘Uthmaan (Rahimahullah) anasimulia kwamba Sa’d (Radhiya Allaahu ‘anhu) alisema: Aya ifuatayo ya Qur’an tukufu iliteremshwa kunihusu mimi: وَوَصَّيْنَا الْإِنسَانَ بِوَالِدَيْهِ حُسْنًا ۖ وَإِن جَاهَدَاكَ لِتُشْرِكَ بِي مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ فَلَا تُطِعْهُمَا Tumemuusia mwanaadamu kuwafanyia wema wazazi wawili. Na wakikulazimisha (wazazi wako makafiri) kunishirikisha (katika ibada yangu) yale …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 3

6. Unapo omba dua, usitumi njia ya kutokuwa na uhakika. Kwa mfano, usiseme: “Ewe Mwenyezi Mungu, ukitaka kunitimizia haja yangu, basi unitimizie.” Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “(Wakati wa kuomba dua) mtu asiseme ‘Ewe Mwenyezi Mungu, nisamehe ukitaka, nirehemu ukitaka, nipe rizki …

Soma Zaidi »

Sa’d (radhiya allaahu ‘anhu) Akimlinda Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)

‘Aaishah (radhiya allaahu ‘anha) anasimulia: Baada ya hajiria Madinah Munawwarah, katika tukio moja, Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) hakupata usingizi usiku (kwa kuhofia kwamba maadui wangemshambulia). Hapo ndipo Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliposema: “Laiti kungekuwa na mchamungu wa kunilinda usiku huu.” Tukiwa katika hali hiyo, tulisikia milio ya silaha. Rasulullah (sallallahu …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabuza Za Dua 2

2. Unapoomba dua, inua mikono yako sambamba na kifua chako. Salmaan Faarsi (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Hakika Allah Ta’ala ndiye mtukufu zaidi na mkarimu zaidi. Heshima yake ni kiasi kwamba anajisikia ni kinyume na ukubwa na rehma yake kumwachia yule anayeinua mikono yake kwa ajili …

Soma Zaidi »

Du’aa Maalum Ya Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam):

‘Aaishah binti Sa’d (radhiya allaahu ‘anha), binti wa Sa’d (radhiya Allaahu ‘anhu) ‘anhu), anasimulia yafuatayo kutoka kwa baba yake, Sa’d (radhiya allaahu ‘anhu): Wakati wa Vita vya Uhud, (wakati maadui waliposhambulia kutoka nyuma na Maswahabah (radhiya allaahu ‘anhum) wengi wakauawa kwenye uwanja wa vita,) Maswahabah (radhiya allaahu ‘anhum) hawakuweza kumpata …

Soma Zaidi »

Sunna Na Adabu Za Dua 1

1. Anza kuomba dua yako kwa kumtukuza Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) kisha umswalia Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam). Baada ya hapo, katika hali ya unyenyekevu na heshima zote, taja haja zako mbele ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) Fadhaalah bin Ubaid (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba katika tukio moja, Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) …

Soma Zaidi »