1. Ni mustahabu kufanya wudhu kabla ya kumtembelea mgonjwa.[1] Anas (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Mwenye kufanya wudhu kamili (yaani kwa kutimiza sunnah na vitendo vya mustahab vya wudhu) na akafunga safari kwenda kumtembelea ndugu yake Mwislamu mgonjwa kwa matumaini ya kupata thawabu za kumtembelea mgonjwa, …
Soma Zaidi »Majeraha Katika Njia Ya Allah Ta’ala
Hafs bin Khaalid (rahimahullah) anasimulia kwamba mzee mmoja aliyetoka Mowsil alimwambia yafuatayo: Wakati fulani nilifuatana na Zubair (Radhiyallahu ‘anhu) moja kati ya safari zake. Wakati wa safari, tukiwa katika ardhi iliyo wazi, isiyo na maji, Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) alihitaji kufanya ghusl la fardh. Akaniambia hivi: “Nifiche (kwa kitambaa ili …
Soma Zaidi »Fadhila Za Kuwatembelea Wagonjwa 2
Kuepushwa Mbali Na Moto Wa Jahannam Sawa Sawa Na Urefu wa Miaka Sabini Anas (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “Mwenye kufanya wudhu kamili (yaani. kwa kutimiza sunnah na vitendo vya mustahab vya wudhu) na akafunga safari kwenda kumtembelea ndugu yake Mwislamu mgonjwa kwa matumaini ya kupata …
Soma Zaidi »Swalaah – Ufunguo wa Jannah
Uislamu ndio njia pekee inayoongoza kwenye mapenzi ya Allah Ta’ala na inaongoza kwenye Jannah. Kupitia Uislamu, mtu atapata radhi za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na kupata mafanikio ya milele. Katika faradhi zote za Uislamu, faradhi ya Swalaah ipo na daraja ya juu zaidi. Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Swalah ni …
Soma Zaidi »Kuitikia Wito wa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) Baada ya Vita vya Uhud
Wakati mmoja, ‘Aaishah (Radhiya Allaahu ‘anha) alizungumza na mpwa wake ‘Urwah (rahimahullah) na akasema, “Ewe mpwa wangu! Baba zako wote wawili (baba yako na babu yako mzaa mama), Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) na Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu), walikuwa miongoni mwa kundi la Maswahaba ambao Allah Ta’ala aliwazungumzia katika Aya …
Soma Zaidi »Fadhila Za Kuwatembelea Wagonjwa 1
Kupata Dua Ya Malaika Elfu Sabini Imepokewa kutoka kwa Ali (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mwenye kumtembelea mgonjwa asubuhi, Malaika elfu sabini humuombea rahma kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) mpaka jioni, na anayemtembelea mgonjwa jioni, Malaika elfu sabini humwomba rahma kwa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) mpaka asubuhi, …
Soma Zaidi »Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) Akitoa Upanga Wake Kumlinda Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)
‘Urwah bin Zubair (rahimahullah) anasimulia yafuatayo: Wakati mmoja, Shetani alizusha uwongo kwamba Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) ametekwa na Makafiri katika eneo la juu la Makkah Mukarramah. Aliposikia uzushi huu, Zubair (Radhiyallahu ‘anhu), ambaye alikuwa na umri wa miaka kumi na mbili tu wakati huo, mara moja akaondoka, akiwapita watu na …
Soma Zaidi »Kuwatembelea Wagonjwa
Dini ya Uislamu inatetea na kuamrisha mtu kutimiza haki anazo daiwa na Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na haki anazo daiwa na waja wa Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala). Kuhusu haki anazodaiwa na waja wa Allah Ta’ala, hizi zinaweza kugawanywa katika aina mbili za haki. Aina ya kwanza ni zile haki ambazo …
Soma Zaidi »Kitendo Kilichomsababishia Sa’d (radhiya allaahu ‘anhu) Kupata Bashara Njema Za Jannah
Anas (radhiya allaahu ‘anhu) anasimulia kwamba katika tukio moja, Maswahabah (Radhiya Allaahu anhum) walikuwa wamekaa kwenye kundi lililobarikiwa la Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliposema: “Baada ya dakika chache atatokea mtu katika watu wa Jannah mbele yenu.” Hapo hapo, Sa’d (radhiyallahu anhu) alitokea, akiwa amebeba viatu vyake kwa mkono wake wa …
Soma Zaidi »Sunna Na Adabu Za Dua 9
21.Usiwe na haraka na kutokuwa na subra kwa ajili ya kukubaliwa na kutimizwa dua yako. Anas (radhiyallahu ‘anhu) anasema kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mja ataendelea kuwa katika hali ya wema maadamu yuko (ameridhishwa na amri ya Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’aala) na hana haraka. MaSwahaabah wakauliza, “Ewe Rasulullah (sallallahu …
Soma Zaidi »