Uislamu ni mfumo mpana na mkamilifu zaidi wa maisha ambao umezingatia kila hitaji la mwanadamu. Haikuonyesha tu njia ya amani kwenye maisha ya mtu, lakini pia imeonyesha jinsi ya kuonyesha upendo na amani baada ya kifo cha mtu. Hivyo basi, Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) kupitia mafundisho yake matukufu na kwa …
Soma Zaidi »Ukarimu Wa Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu)
Hishaam bin ‘Urwah anataja kwamba maswahaabah saba (Radhiya Allaahu ‘anhum) walimchagua Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) kuwa mtekelezaji wa mali zao baada ya kufariki kwao. Miongoni mwa hawa maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) walikuwa ‘Uthmaan (Radhiya Allaahu ‘anhu), ‘Abdur Rahmaan bin ‘Auf (Radhiya Allaahu ‘anhu), Miqdaad (Radhiyallahu ‘anhu) na ‘Abdullah bin Mas’uud …
Soma Zaidi »Istiqaama Katika Uislamu
Abul Aswad anasimulia yafuatayo: Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) alisilimu na umri wa miaka minane, na akafanya hijrah akiwa na umri wa miaka kumi na nane. Mjomba wake alikuwa akimweka ndani la kibanda kidogo na kuwasha moto ili ateseke na moshi huo. Kisha mjomba wake angemuamuru kuu achana Uislamu, ambao alikuwa …
Soma Zaidi »Sifa Ya Amaanah – Fikra Ya Kuulizwa
Allah Ta’ala amemneemesha mwanadamu kwa neema zisizohesabika. Baadhi ni neema za kimwili, wakati nyingine ni neema za kiroho. Mara nyingi, kuna neema nyingi ambazo zinahusishwa na neema mmoja. Fikiria neema ya macho – ni njia ya mtu kuona maelfu ya neema zingine za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah). Hata hivyo, kuona …
Soma Zaidi »Kushiriki katika Vita vya Badr
Ismaa’il bin Abi Khaalid anasimulia kwamba Bahiyy (rahimahullah) alisema: “Wapanda farasi walikuwa wawili tu wakipigana katika Jihaad kwenye tukio la Badr. Mmoja wao alikuwa Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu), ambaye alikuwa akipigana upande wa kulia, na mwingine alikuwa Miqdad bin Aswad (Radhiya Allaahu ‘anhu), ambaye alikuwa akipigana upande wa kushoto. Hishaam …
Soma Zaidi »Dua Za Kusomwa Wakati Wa Kumtembelea Mgonjwa
Dua Ya Kwanza لَا بَأْسَ طَهُوْرٌ إِنْ شَاءَ اللهُ Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi, kupitia maradhi haya, utatakasika inshaAllah (yaani, hakuna haja ya wewe kuwa na wasiwasi au hofu yoyote. Unapitia mchakato wa utakaso tu. Kiroho, unasafishwa na dhambi zako, na kiafya, mwili wako unasafishwa na sumu. Kwa hivyo, …
Soma Zaidi »Tahadhari katika kusimulia Hadith kutoka kwa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)
Abdullah bin Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) anasimulia kwamba wakati fulani alimuuliza baba yake, Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu), “Kwa nini usimuli mahadith za Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam), kama vile maswahaabah (Radhiya Allaahu ‘anhum) wengine?” Zubair (Radhiya Allaahu ‘anhu) akajibu, “Sikuacha upande wa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) baada ya kusilimu (yaani nina …
Soma Zaidi »Kutimiza Amaanah Tunayodaiwa kwa Allah Ta’ala na Viumbe
Katika zama za kabla ya Uislamu na baada ya Uislamu kufika, Uthmaan bin Talhah alikuwa mlinzi wa ufunguo wa Ka’ba. Alikuwa akifungua Ka’bah siku za jumatatu na alhamisi, akiwaruhusu watu kuingia na kujishughulisha na ibaadah. Wakati mmoja, kabla ya hijrah, watu walipokuwa wakiingia ndani ya Ka’bah katika hizo siku, Rasulullah …
Soma Zaidi »Sunnah na Adabu Za Kuwatembelea Wagonjwa 2
4. Unapowatembelea wagonjwa, soma dua ifuatayo: لَا بَأْسَ طَهُوْرٌ إِنْ شَاءَ اللهُ Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi, kupitia maradhi haya, utatakasika inshaAllah.[1] Unaweza pia kusoma dua ifuatayo mara saba: أَسْألُ اللهَ الْعَظِيْمَ رَبَّ الْعَرْشِ الْعَظِيْمِ أَنْ يَّشْفِيَكَ Ninamuomba Allah Ta’ala, Mola wa Arshi kubwa, akuponye. Imepokewa kutoka kwa Ibnu …
Soma Zaidi »Kupokea Cheo Cha ‘Msaidizi Maalum’ wa Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam)
Katika tukio la Vita vya Ahzaab, vilivyojulikana pia kama Vita vya Khandaq, Waislamu walipata habari kwamba Banu Quraidhah wamevunja kiapo chao cha kumtii Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na wamejiunga na maadui. Ili kuhakikisha taarifa hizo, Mtume (Sallallahu ‘alaihi wasallam) aliwauliza Maswahabah (Radhiya Allaahu ‘anhum), “Ni nani atakayeniletea habari za watu …
Soma Zaidi »