1. Jisaidiye sehemu ambayo imejificha mtu mwengine hawezi kukuona.
Sayyiduna jaabir (radhiyallahu 'anhu) amesema "pindi Nabii (sallallahu 'alaihi wassallam) alivyokuwa anataka kujisaidia alikuwa anaenda sehemu ambayo imehifadhika kwa macho ya watu wengine.
Soma Zaidi »