Njia Za Suna Za Kufanya Udhu – Sehemu Ya Tatu

9. Soma dua ifuatayo wakati wowote wa kufanya udhu au baada ya udhu:[1] اَللّٰهُمَّ اغْفِرْ لِيْ ذَنْبِيْ وَوَسِّعْ لِيْ فِيْ دَارِيْ وَبَارِكْ لِيْ فِيْ رِزْقِيْ Ewe Allah subhaana wata’alah nisamehe madhambi yangu, zidisha upana ndani ya nyumba yangu na unipe baraka katika riziki yangu. عن أبي موسى الأشعري رضي الله …

Soma Zaidi »

Namna Ya Kujisafisha Kutoka Kwenye Madhambi

Abuu Hurairah (radhiyallahu 'anhu) ameripoti kuwa Nabii wa Allah (sallallahu 'alaihi wassallam) amesema, "nisalieni kwa hakika ni njia ya usafishaji wenu. Muulize Allah subhaana wata'alah anijalie daraja la "waswila" ambayo ni daraja la juu la peponi limehifadhiwa kwa mtu mmoja tu, na ninamatumaini yangu kwamba mimi ni yule ambaye amebarikiwa na hii heshima na daraja.

Soma Zaidi »

Njia Za Suna Za Kufanya Udhu – Sehemu Ya Pili

6. Sukutuwa mdomo na weka maji puwani kwa pamoja mara tatu.

Njia ya kusukutua mdomo na upandishaji wa maji puani ni ifuatayo: kwanza, chukuwa maji katika kiganja cha mkono wa kulia. Alafu tumia baadhi ya maji, sukutua mara moja. Baada ya hapo tumia yaliyobaki kiganjani pandisha maji puani. Hii njia utairudia mara mbili, kwa kutumia kiganja kingine cha maji kila mara.

Soma Zaidi »

Kupata Qiraat Moja Ya Thawabu

Sayyidina Ally Bin Abii Taalib (radhiyallahu 'anhu) anaripoti kuwa Nabii (sallallahu 'alaihi wassallam) amesema, "yoyote atakae niswalia mara moja, Allah subhaana wata'alah atamuandikia kirati moja ya thawabu, na kirati moja ni sawa na mlima wa uhudi.

Soma Zaidi »

Kupata Thawabu Sabini

Sayyidina Abdullah Bin Amr Bin Aas (radhiyallahu 'anhuma) alitowa ripoti, "Yoyote atakaye tuma salaam kwa Nabii (sallallahu 'alaihi wassallam) mara moja Allah subhaana wata'alah na malaika wake watatuma sabini rehema na baraka juu yake kwa kulipa salaam moja yake. Kwahivyo yoyote atakaye taka kuzidisha kumsaliya Nabii (sallallahu 'alaihi wassallam) azidishe kumsaliya Nabii. Na yoyote atakaye kuwa ataki kuzidisha kumsaliya Nabii (sallallahu 'alaihi wassallam) asizidishe kumsaliya Nabii (sallallahu 'alaihi wassallam) (yaani kama anataka kupata ujira mwingi,ni lazima azidishe kumsaliya Nabii (sallallahu 'alaihi wassallam)).

Soma Zaidi »

Kupata Rehma Kumi

Sayyiduna Abu Huraira (radhiyallahu 'anhu) ameripoti kuwa Nabii (sallallahu 'alaihi wassallam) amesema " yoyote atakaye nitumia salaam mara moja, allah subhaana wata'alah atamtumia salaam (yaani atampa zawadi na atamfariji na rehema zake) kwake mara kumi" 

Soma Zaidi »