1. Allah subhaana wata’ala ni mwingi wa rehema kwa waja wake. Yeye ni mwenye kupenda Sana, na nimvumilivu. Yeye ndiye anayesamehe dhambi na kukubali toba. 2. Allah subhaana wata’ala ni mwadilifu kabisa. Hamuonei kiumbe wowote kwa kiwango cha hata chembe. 3. Allah subhaana wata’ala amempa mwanadamu ufahamu na uwezo wa …
Soma Zaidi »Vyeo kumi vilivyoinuliwa
عن أنس بن مالك قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من صلى علي صلاة واحدة صلى الله عليه عشر صلوات وحطت عنه عشر خطيئات ورفعت له عشر درجات (سنن النسائي، الرقم: ١٢٩٧، وسنده حسن كما في المطالب العالية ١٣/٧٨٥) Sayyidina Anas Binn maalik (radhiyallahu ‘anhu) Anaripoti kwamba Rasulullah …
Soma Zaidi »Nyakati ambazo miswaak inapaswa kutumiwa
1. Baada ya kuamka.
Sayyidatuna Aaisha (radhiyallahu ‘anha) anaripoti, "wakati wowote Nabii (sallallahu alaihi wasallam) aliamka kutoka usingizini, ida uwe usiku au mchana, alikuwa anafanya miswaak kabla ya kufanya wudhu."
Soma Zaidi »Imani kuhusu Allah subhaanawata’ala
7. Allah subhaana wata’ala hazuiliwi kwa nafasi au wakati. Badala yake, yeye ndiye muundaji wa nafasi na wakati.[1] 8. Allah subhaana wata’ala ni Mwenye nguvu na Anajua kila kitu. Hakuna kitu ambacho kinafichwa kutoka kwa maarifa yake.[2] 9. Hana udhaifu, mapungufu na kasoro yoyote. Yeye ni mkamilifu kabisa katika sifa …
Soma Zaidi »Kupokea baraka kumi
Abu Huraira (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, "Yoyote atakayetuma salaam juu yangu mara moja, Allah subhaana wata'alah atamwandikia fadhila kumi (katika kitabu chake cha matendo)."
Soma Zaidi »Njia ya sunnah ya kutumia miswaak
5. kwa kukosekana kwa miswaak, utumiaji wa kidole haitachukuwa nafasi ya miswaak. Mtu anaweza kutumia kitu ambacho ni kigumu na itatakasa kinywa mfano: mswaki wa kizungu.[1] 6. Miswaak haipaswi kuzidi urefu wa kiganga cha mkono kwa urefu.[2] 7. Mti wowote ambao unaweza kutumiwa kwa kusafisha kinywa na auna madhara au …
Soma Zaidi »Imani kuhusu Allah subhaanawata’ala
Imani kuhusu uwepo na sifa za Allah subhaana wata’ala 1. Allah subhaana wata’ala ndiye pekee anayestahiki kuabudiwa.[1] 2. Kabla ya uumbaji wa ulimwengu wote, kila kitu hakikuwepo, badala ya Allah subhaana wata’ala Kisha akaumba kila kitu kutoka hali ya kutokuwepo. Badala ya Allah subhaana wata’ala, hakuna mtu mwingine aliye na …
Soma Zaidi »Salaam itapimwa kwa kiwango cha kipimo kikamilifu.
Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kuwa Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) anasema, "yule anayetaka salamu yake juu yangu ipimwe kwa kiwango kilicho pimwa kamili (na hivyo kupokea tuzo kamili kwa salaam) wakati akisoma salaam juu yetu, na ahlul bayt, basi anapaswa kusoma salaam ifuatayo:
Ewe Allah subhaanawata'ala! tuma salaamu kwa Nabii Muhammad (sallallahu ‘alaihi wasallam) Nabii asiye juwa kusoma, wake zake, mama wa waumini, kizazi chake na watu wa nyumba yake kama jinsi ulivyotuma salaamu kwa familia ya Ebrahim (alahis salaam), hakika wewe ndiye unastahili sifa, mwingi wa kupandisha.
Soma Zaidi »Njia ya sunnah ya kutumia miswaak Sehemu Ya Pili
1. Njia ya kushika miswaak ni kwa mtu kuweka kidole gumba chake na kidole kidogo chini ya miswaak na vidole vyake vilivyobaki upande wa juu wa miswaak.[1] 2. Shikilia miswaak kwa mkono wa kulia na anza kusafisha meno kutoka kulia.[2] 3. Fanya miswaak ya meno kwa upande upande na ya …
Soma Zaidi »Umuhimu Wa Kujiunga Ili Upate Usahihi Wa Aqiidah
Dini ya Uislamu pamoja na nguzo zake zote, hutegemea msingi wa imani na imani sahihi. ikiwa imani ya mtu sio sahihi, lakini haitamfanya atoke kwenye zizi la Uislamu, basi hata kama anaweza kujitahidi kutekeleza matendo ya uadilifu na ya haki, hatapokea ahadi zilizoahidiwa kama imani yake ambayo ni msingi wa …
Soma Zaidi »