Qiyaam

15. Ikiwa unaswali rakaa tatu au nne, basi katika rakaa ya tatu na ya nne utasoma tu Surah Faatihah. Hupaswi kusoma surah yoyote baada ya kusoma Surah Faatihah. Kumbuka: Katika rakaa ya tatu na ya nne kwenye swala ya fardh, Surah Faatihah itasomwa na imaam, muqtadi (mfwasi nyuma ya imaam) …

Soma Zaidi »

Dhul Hijjah – Mwezi wa Hajj na Kuchinja

Dhul Hijjah ni mwezi wa mwisho wa kalenda ya Kiislamu. Ingawa mwezi mzima wa Dhul Hijjah ni mtukufu na wenye baraka, siku kumi za kwanza za Dhul Hijjah zina utukufu na fadhila kubwa zaidi. Kuhusiana na siku kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah, Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema: “Siku bora zaidi …

Soma Zaidi »

Bahili wa kweli

عن حسين بن علي بن أبي طالب قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: البخيل الذي من ذكرت عنده فلم يصل علي (سنن الترمذي، الرقم: 3546، وقال هذا حديث حسن صحيح غريب) Sayyidina Husain (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema, “bakhili wa kweli ni yule ambaye …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu 2

6. Inajuzu kusoma Quran Takatifu kwenye simu bila wudhu. Lakini, mtu apaswi kuweka mkono wake au kidole chake kwenye sehemu hiyo ya skrini ambapo aya za Qur’an zinaonekana.[1] Maelezo: Ikumbukwe kwamba ingawa kusoma Qur’an kutumia simu inaruhusiwa, kusoma Qur’an kwa njia ya asili ni bora zaidi kwa sababu ndio njia …

Soma Zaidi »

Qiyaam

10. Mara tu unapoanza swalah yako, soma Dua-ul- Istiftah kimya kimya: وَجَّهْتُ وَجْهِيَ لِلَّذِيْ فَطَرَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ حَنِيْفًا مُسْلِمًا وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِيْنَ إِنَّ صَلَاتِيْ وَنُسُكِيْ وَمَحْيَايَ وَمَمَاتِيْ لله ِرَبِّ الْعَالِمِيْنَ لَا شَرِيْكَ لَهُ وَبِذلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا مِنَ الْمُسْلِمِيْنَ Nauelekeza uso wangu kwa yule aliyeziumba mbingu na ardhi, huku nikiwa …

Soma Zaidi »

Fikra Ya Umar (radhiyallahu ‘anhu) kwa ajili ya Swalaah

Asubuhi ambao Umar (radhiya allaahu ‘anhu) alichomwa kisu, Miswar bin Makhramah (radhiyallahu ‘anhu) alikuja kumuona. Alipoingia, alimkuta Umar (radhiya allaahu ‘anhu) amefunikwa akiwa na karatasi na kupoteza fahamu. Miswar (radhiya allaahu ‘anhu) akawauliza wale waliokuwepo pale, “yukoje?” Wakajibu, “Hana fahamu kama unavyoona.” Kwa vile kulikuwa hakuna muda mwingi uliobakia kwa …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Kaafiroon

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ قُلْ يَا أَيُّهَا الْكَافِرُونَ ‎﴿١﴾‏ لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ ‎﴿٢﴾‏ وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ ‎﴿٣﴾‏ وَلَا أَنَا عَابِدٌ مَّا عَبَدتُّمْ ‎﴿٤﴾‏ وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ ‎﴿٥﴾‏ لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ ‎﴿٦﴾‏ Sema: “Enyi makafiri, mimi siabudu (masanamu) mnayoyaabudu, wala nyie hamumuabudu ninayemuabudu (Allah Ta’ala). Na wala sitaabudu (masanamu) mnayoyaabudu, wala nyinyi hamtamwabudu ninayemuabudu (Allah Ta‘ala). …

Soma Zaidi »

Sunnah na Adabu Za Kusoma Qur’an Takatifu

1. Hakikisha mdomo wako ni safi kabla ya kusoma Qur’an Takatifu.[1] Imepokewa kwamba Ali (radhiyallahu ‘anhu) alisema, “Hakika midomo yenu ni njia za Qur’an Majeed (yaani midomo yenu inatumiwa kusoma Qur’an). Kwa hivyo, osheni vinywa vyenu kwa kutumia miswaak.”[2] 2. Shikilia Quran Takatifu kwa heshima kubwa na kila wakati uiweke …

Soma Zaidi »

Qiyaam

1. Elekea kibla. 2. Weka miguu pamoja au karibu iwezekanavyo. Hakikisha kwamba miguu inaelekea kibla. 3. Baada ya hapo, weka nia ya Swalaah unayoswali na inua mikono yako mpaka vidole gumba viwe sawa sawa na ncha za masikio na ncha za vidole vyako viwe sawa sawa na sehemu ya juu …

Soma Zaidi »