4. Jinsi ya kutekeleza rakaa tatu za Witr ni kwamba utaswali rakaa mbili kwanza na kutoa salaam. Baada ya hapo utaswali rakaa moja. Ukipenda unaweza kuswali rakaa mbili na kukaa kwa ajili ya tashahhud. Kisha utasimama na kutekeleza rakaa ya tatu. Katika hali zote mbili, Qunuut itasomwa katika rakaa ya …
Soma Zaidi »Fadhila Kumi Maalum Za ‘Uthmaan (radhiya allaahu ‘anhu)
Abu Thowr (rahimahullah) anasimulia kwamba siku moja alikuja kwa ‘Uthmaan (radhiya allahu ‘anhu) na kumsikia akitaja yafuatayo wakati ukosoaji usio sahihi ulipokuwa ukitolewa dhidi yake. Alisema: Kuna mema kumi ambayo nimeyalinda kwa Allah Taala na kwa kila amali natarajia kupata malipo ya Akhera; 1) Nilikuwa mtu wa nne kusilimu. 2) …
Soma Zaidi »Qunoot
3. Ni sunna kuswali Witr kila siku katika kipindi chote cha mwaka. Swala ya Witr itatekelezwa baada ya kuswali Fardh na Sunnah za Swalah ya Esha. Kwa mwaka mzima, mtu anaposwali Witr, hatosoma Qunoot. Lakini, ni sunna kusoma Qunout kwenye Witr katika kipindi cha pili ya Ramadhaan (tangu 15 Ramadhani …
Soma Zaidi »Hofu Ya Uthman (radhiyallahu ‘anhu) kwa ajili ya Akhera
Haani (rahimahullah), mtumwa aliyeachwa huru wa ‘Uthmaan (radhiya allaahu ‘anhu), anataja kwamba wakati ‘Uthmaan (radhiya allaahu ‘anhu) anaposimama kaburini, alikuwa akilia sana hadi ndevu zake zikilowa kwa machozi yake. Mtu mmoja akamuuliza, “Tunaona kwamba unapokumbuka Jannah na Jahannam na kuzijadili, hauathiriki hadi unaanza kulia, lakini unaposimama kaburini tunakuona unaingiwa na …
Soma Zaidi »Sura Maalum Kwenye Nyakati na Matukio Mbalimbali 2
4. Soma Surah Yaseen kila asubuhi na jioni. Ibnu Abbaas (radhiyallahu anhuma) anaripoti kwamba, “Yoyote anayesoma Sura Yaaseen asubuhi, kazi yake ya siku hiyo nzima itarahisishwa, na yoyote atakayeisoma mwisho wa siku, kazi yake mpaka asubuhi itarahisishwa.”[1] Jundub (radhiyallahu anhu) anasimulia kwamba Mtume (sallallahu ‘alaihi wasallam) amesema: “Mwenye kusoma Sura …
Soma Zaidi »Qunoot
1. Ni Sunnah kusoma Qunoot katika rakaa ya pili ya Alfajiri. Qunoot itasomwa katika rakaa ya pili pindi unaposimama baada ya rukuu. Mtu atasoma kwanza tahmiid (ربنا لك الحمد) na baada ya hapo ataisoma Qunout. 2. Wakati wa kusoma Qunoot, mtu atainua mikono yake sambamba na kifua chake na kufanya …
Soma Zaidi »Kuwa Mlaini na Mpole Unapojishughulisha na Watu:
‘Ataa bin Farrookh (rahimahullah) anasimulia yafuatayo: Wakati mmoja, ‘Uthmaan (radhiya allaahu ‘anhu) alinunua kiwanja kutoka kwa mtu fulani. Baada ya kununua ardhi, ‘Uthmaan (Radhiya Allaahu ‘anhu) alimsubiri mtu huyo aje kuchukua pesa zake. Lakini mtu huyo hakuja. ‘Uthmaan (radhiya allaahu ‘anhu) alipokutana na mtu huyo baadaye, alimuuliza, “Kwa nini hukuja …
Soma Zaidi »Tafseer Ya Surah Lahab
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ ﴿١﴾ مَا أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُ وَمَا كَسَبَ ﴿٢﴾ سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ ﴿٣﴾ وَامْرَأَتُهُ حَمَّالَةَ الْحَطَبِ ﴿٤﴾ فِي جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍ ﴿٥﴾ Iangamie mikono yake miwili ya Abu Lahab, na aangamie! Mali yake hayakumnufaisha wala aliyo yachuma. Hivi karibuni ataingia kwenye moto uliojaa miali ya moto, pamoja na mke …
Soma Zaidi »Sura Maalum Kwenye Nyakati na Matukio Mbalimbali 1
Kuna baadhi ya surah ambazo zinatakiwa kusomwa kwenye nyakati maalum wakati wa usiku na mchana au katika siku fulani ndani ya week. Ni mustahab kwa mtu kusoma surah hizi kwa muda wake. 1. Soma Surah Kaafirun kabla ya kulala Imepokewa kutoka kwa Jabalah bin Haarithah (radhiyallahu ‘anhu) kwamba Mtume (Sallallahu …
Soma Zaidi »Qa’dah Na Salaam
7. Ikiwa ni qa’dah ya mwisho, basi soma tashahhud, Swalawaat Ebrahimiyyah na baada ya hapo fanya dua. Swalawaat Ibrahimiyyah ni ifuatavyo: اَللّٰهُمَّ صَلِّ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا صَلَّيْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ وَبَارِكْ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَّعَلٰى اٰلِ مُحَمَّدٍ كَمَا بَارَكْتَ عَلٰى إِبْرَاهِيْمَ وَعَلٰى اٰلِ إِبْرَاهِيْمَ فِيْ الْعَالَمِيْنَ …
Soma Zaidi »