27. Uwe mtulivu na mwenye heshima ukiwa msikitini, wala usighafilike na kusahau heshima ya msikiti. Baadhi ya watu, wakiwa wanangoja Swalah ianze, wanahangaika na mavazi yao au wanacheza na simu zao za mkononi. Hii ni kinyume na heshima na adabu ya Msikiti.[1] 28. Kusaidia katika usafi wa msikiti.[2] عن أبي …
Soma Zaidi »Mapenzi ya Umar (radhiyallahu ‘anhu) na Kumbukumbu za Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam)
Usiku mmoja, katika kipindi cha ukhalifa wake, Umar (radhiyallahu ‘anhu), alikuwa kwenye ulinzi wa usalama na aliona mwanga na kusikia sauti ikitoka katika nyumba fulani. Alimkuta bibi kizee ndani yake akisokota pamba na kuimba nyimbo zifuatazo: عَلَى مُحَمَّدٍ صَلَاةُ الْأَبْرَارْ ** صَلَّى عَلَيْكَ الْمُصْطَفَوْنَ الْأَخْيَارْ “Wacha Mungu waendelee kutuma salamu …
Soma Zaidi »Bashara Nzuri Kutoka Kwa Allah( Subhaana Wata’alah) Kwa Wale Ambao Wanamsalia Mtume
عن عبد الرحمن بن عوف رضي الله عنه قال خرج رسول الله صلى الله عليه وسلم فاتبعته حتى دخل نخلا فسجد فأطال السجود حتى خفت أو خشيت أن يكون الله قد توفاه أو قبضه قال فجئت أنظر فرفع رأسه فقال ما لك يا عبد الرحمن قال فذكرت ذلك له فقال …
Soma Zaidi »Sunna za Msikiti
25. Usipasue vifundo vyako ukiwa msikitini. Vile vile, usiunganishe vidole vyako ukiwa umeketi msikitini.
Mtumwa aliyeachiliwa huru wa Sayyidina Abu Sa’eed Khudri (radhiyallahu ‘anhu) anasema, “Siku moja, nikiwa na Abu Sa’eedd (radhiyallahu ‘anhu) na yeye akiwa pamoja na Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam), tuliingia msikitini na tukamuona mtu mmoja ameketi katikati ya musjid. Mtu huyu alikuwa amekaa kitako kwa jinsi magoti yake yalivyoinuliwa, na mikono yake ikiwa imezunguka magoti yake, na vidole vya mikono yake yote miwili vimeunganishwa. Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) aliimpa ishara mtu huyu (kuvuta mazingatio yake), lakini mtu huyo hakuona ishara ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam). Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) hivyo akageuka kumelekea Abu Sa’eed (radhiyallahu ‘anhu) na akasema, ‘Mmoja wenu atakapokuwa msikitini, basi asiunganishe vidole vyake, kwani kuunganisha vidole vyake ni kutoka kwa Shetani. Kwa muda utabakia msikitini mkingojea Swalaah, mtapata ujira wa Swalaah kama mko katika Swalaah mpaka mtakapotoka msikitini. Kuunganisha vidole wakati wa Swalaah ni kinyume na adabu ya Swalaah, basi mtu hatakiwi kuunganisha vidole wakati wa kusubiri Swalaah).’”
Soma Zaidi »Mapenzi ya Abu Bakr Siddeeq (radhiyallahu ‘anhu) kwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam)
Nabii wa Allah (sallallahu alaihi wasallam) na Abu Bakr Siddeeq (radhiyallahu ‘anhu) wanaondoka kufanya hijrah usiku. Wakati wa safari, muda mwingine Abu Bakr Siddeeq alitembea mbele ya Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) na kuna muda mwingine akitembea nyuma yake. Kuna wakati fulani alitembea upande wa kulia wa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) …
Soma Zaidi »Salaa na Salaam Tano za Imaam Shaafi’ee (rahimahullah)
Imetajwa kwamba baada ya kufariki Imaam Shaafi’ee (rahimahullah), mtu fulani alimuona katika ndoto na akamuuliza sababu ya kusamehewa na Allah Ta'ala. Imaam Shaafi’iee (rahimahullah) akajibu, “Ni kwa sababu ya salaa na salaam hizi tano juu ya Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) kuzisoma kila usiku wa ijumaa (yaani usiku unaotangulia Ijumaa).
Soma Zaidi »Sunna za Msikiti
21. Usipite mbele ya mtu anayeswali. Lakini, ikiwa ameweka sutrah mbele yake (yaani kuweka kitu chochote kirefu ili watu wapite mbele yake), inajuzu kupita mbele ya sutrah.[1] عن أبي جهيم رضي الله عنه قال قال رسول الله صلى الله عليه وسلم لو يعلم المار بين يدي المصلي ماذا عليه لكان …
Soma Zaidi »Allah Ta’ala Akitangaza Radhi Zake kwa Maswahaabah Vipendwa wa Rasulullah (Sallallaahu ‘alaihi wasallam)
Na waliotangulia (katika Dini) katika wa Muhajirina na wa Answaar na waliowafuata kwa wema, Allah Ta'ala ameridhika nao na wao wameridhika naye, na amewaandalia mabustani ambayo mito yanapita kati yake, watakaa humo milele. Huko ndiko kufaulu kukubwa. (Sura Taubah: 100)
Soma Zaidi »Mtu Kunywa kutoka Kwenye Howdh ul Kawthar ya Mustafa (sallallahu alaihi wasallam) na kikombe cha kipimo kamili.
Hasan Basri (rahimahullah) ametaja, “Yoyote anayetaka kunywa kutoka kwenye Howdh ul Kawthar (Sehemu Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) atawapa watu maji kunywa Siku ya Qiyaamah) ya Mustafa (sallallahu ‘alaihi wasallam) na kikombe cha kipimo kamili, basi amswalie Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) kwa maneno yafuatayo: اَللّٰهُمَّ صَلِّ عَلٰى مُحَمَّدٍ وَعَلٰى آلِهِ وَأَصْحَابِهِ …
Soma Zaidi »Sunna za Msikiti
18. Ni bora mtu asiutumie msikiti kama njia ya kupita (kupitia ng’ambo).[1] عن ابن عمر رضي الله عنهما عن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال خصال لا تنبغي في المسجد لا يتخذ طريقا ولا يشهر فيه سلاح (سنن ابن ماجة، الرقم: 748)[2] Sayyidina Ibnu Umar (radhiyallahu ‘anhuma) anaripoti kwamba Sayyidina …
Soma Zaidi »