Kupata Maombezi Ya Nabii Wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam)

عن أبي الدرداء قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى علي حين يصبح عشرا وحين يمسي عشرا أدركته شفاعتي يوم القيامة (رواه الطبراني بإسنادين وإسناد أحدهما جيد ورجاله وثقوا كذا في مجمع الزوائد، الرقم: ١٧٠٢٢) Sayyidina Abu Dardaa (radhiyallahu ‘anhu) ameripoti kwamba Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi …

Soma Zaidi »

Ruku na I’tidaal

6. Hakikisha kwamba mikono imewekwa mbali na mwili.[1] 7. Soma tasbeeh ifuatayo mara tatu au idadi yoyote isiyo na maganyiko:[2] سُبْحَانَ رَبِّيَ الْعَظِيْم Utukufu ni wa Mola wangu Mkubwa 8. Baada ya kusoma tasbihi, simama kutoka kwenye rukuu huku ukisema tasmee’:[3] سَمِعَ اللهُ لِمَنْ حَمِدَهْ Allah Ta’ala Humsikia mwenye kumsifu …

Soma Zaidi »

Abu Bakr (radhiyallahu ‘anhu) akijitolea Mali yake Kwa Sababu ya Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)

Abu Hurairah (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) alisema: “Hakuna mali ya mtu iliyoninufaisha zaidi kama mali ya Abu Bakr (radhiyallahu’anhu). Aliposikia hivyo, Abu Bakr (radhiyallahu ‘anhu) akaanza kulia na kusema, “Mali yangu yote na mimi pia ni wa kwako, Ewe Nabi Wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam)! Katika …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Feel

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصْحَابِ الْفِيلِ ‎﴿١﴾‏ أَلَمْ يَجْعَلْ كَيْدَهُمْ فِي تَضْلِيلٍ ‎﴿٢﴾‏ وَأَرْسَلَ عَلَيْهِمْ طَيْرًا أَبَابِيلَ ‎﴿٣﴾‏ تَرْمِيهِم بِحِجَارَةٍ مِّن سِجِّيلٍ ‎﴿٤﴾‏ فَجَعَلَهُمْ كَعَصْفٍ مَّأْكُولٍ ‎﴿٥﴾‏ Je, Hukuona jinsi Mola wako alivyowafanyia watu wa tembo? Je! Hakufanya mipango yao ya khiana kuharibika? Na akawapelekea ndege kwa makundi, Wakiwapiga na mawe ya udongo wa …

Soma Zaidi »

Thawabu Maalumu Kwa Ajili Ya Kumsalia Nabii Mara Mia Moja

عن أبي هريرة رضي الله عنه عن النبي صلى الله عليه وسلم قال من صلى علي عشرا صلى الله عليه مئة ومن صلى علي مئة صلى الله عليه ألفا ومن زاد صبابة وشوقا كنت له شفيعا وشهيدا يوم القيامة (أخرجه أبو موسى المديني بسند قال الشيخ مغلطاى لا بأس به، …

Soma Zaidi »

Ruku na I’tidaal

1. Ukimaliza kusoma Surah Faatihah na Qiraat, tulia kidogo na kisha inua mikono (kama ilivyoelezwa katika takbeeratul ihraam) huku akisema takbira na kuingia katika rukuu kwa pamoja.[1] Kumbuka: Takbira ya intiqaaliyyah (takbira inayosomwa wakati wa kuhama kutoka mkao mmoja hadi mwingine) inapaswa kuanza mara tu mtu anapoanza kuhamia mkao unaofuata …

Soma Zaidi »

Upendo wa Anas bin Nadhr (radhiyallahu ‘anhu) kwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) na kuwa kwake shahidi katika vita vya Uhud

Wakati Waislamu walipokuwa wanazidiwa katika vita vya Uhud, habari za uongo zilianza kuenea kwamba Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) ameuwawa. Hii habari zilisababisha wengi wa Maswahaba (radhiyallahu ‘anhum) kukata tamaa na kupoteza moyo. Anas bin Nadhr (radhiyallahu ‘anhu) alitokea kumuona Umar (radhiyallahu ‘anhu) na Talhah (radhiyallahu ‘anhu) pamoja na kundi la …

Soma Zaidi »

Kupata Thawabu Sabini

عن عبد الرحمن بن مريح الخولاني قال سمعت أبا قيس مولى عمرو بن العاصي يقول: سمعت عبد الله بن عمرو يقول: من صلى على رسول الله صلى الله عليه وسلم صلاة صلى الله عليه وملائكته سبعين صلاة فليقل عبد من ذلك أو ليكثر (مسند أحمد، الرقم: ٦٦٠٥، وإسناده حسن وحكمه …

Soma Zaidi »

Ansaari anabomoa jengo mpaka chini

Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) wakati fulani alikuwa akipitia barabara ya Madinah Munawwarah alipoona jengo likubwa. Akauliza kutoka kwa Swahaabah, “Ni nini hiki?” Wakamjulisha kwamba lilikuwa ni jengo jipya lililojengwa na Ansaari mmoja. Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) akakaa kimya. Wakati mwingine, Ansaari yule aliyojenga nyumba hiyo alikuja kwa Rasulullah (sallallahu alaihi …

Soma Zaidi »