Mapenzi ya Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) Yanaendana na Mapenzi ya Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam)

Baada ya baba yake Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) kusilimu, Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) alizungumza na Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) akisema: “Nakula kiapo kwa Yule aliye kuusieni haki! Ingawa nina furaha sana kuwa baba yangu amesilimu, furaha ambayo ningeipata kama mjomba wako, Abu Taalib, angesilimu, ingekuwa kubwa zaidi kuliko …

Soma Zaidi »

Tafseer Ya Surah Quraish

لِإِيلفِ قُرَيْشٍ ‎﴿١﴾‏ اِلٰفِهِمْ رِحْلَةَ الشِّتَآءِ وَالصَّيْفِ ‎﴿٢﴾‏ فَلْيَعْبُدُوا۟ رَبَّ هٰذَا الْبَيْتِ ‎﴿٣﴾‏ الَّذِىٓ أَطْعَمَهُم مِّن جُوْعٍ وَاٰمَنَهُمْ مِّنْ خَوْفِۭ ‎﴿٤﴾‏ Kwa ajili ya usalama ya Maquraishi, usalama wanaoufurahia katika safari zao katika miezi ya za baridi na miezi za joto. Wamuabudu Mola wa Nyumba Takatifu (Ka’aba), ambaye amewaruzuku chakula wasipate njaa na anawalinda na …

Soma Zaidi »

Jalsah

1. Katika mkao wa jalsah, weka viganja vyako kwenye mapaja yako na vidole vyako karibu na magoti yako.[1] 2. Hakikisha vidole vyako vimeunganishwa.[2] 3. Macho yako yawe yanaangalia kwenye sehemu ya kusujudu ukiwa kwenye jalsah.[3] 4. Weka mguu wa kulia ukiwa umesimama kwa usawa huku vidole vyake vya miguu vikikandamizwa …

Soma Zaidi »

Heshima ya Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) na Mapenzi ya Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) Kwake

Katika tukio la Fath-ul-Makkah Mukarramah (ushindi wa Makka Mukarramah), Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu) alimleta baba yake, Abu Quhaafah, kwa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) ili asilimu. Wakati huo, Abu Quhaafah alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 90 na alikuwa amepoteza uwezo wake wa kuona. Walipofika kwa Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi …

Soma Zaidi »

Kupata Dua ya Rasulullah (sallallahu ‘alaihi wasallam) kwa kumswalia Nabii wa Allah (sallallahu ‘alaihi wasallam) katika siku ya Ijumaa

عن عمر بن الخطاب رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: أكثروا الصلاة علي في الليلة الزهراء واليوم الأغر فإن صلاتكم تعرض علي فأدعو لكم وأستغفر (القربة لابن بشكوال، الرقم: 107، وسنده ضعيف كما في القول البديع صـ 335) Umar Bin Khattaab (radhiyallahu ‘anhu) anaripoti kwamba …

Soma Zaidi »

Sajdah

7. Mikono usishikamane na upande wa mwili.[1] 8. Macho yawe yanaangalia sehemu ya kusujudu.[2] 9. Acha nafasi kati ya tumbo na mapaja.[3] 10. Weka miguu yote miwili chini na vidole vya miguu vikielekea kibla. Acha nafasi sawa Sawa na mkono mmoja kati ya miguu yako kwenye sajdah.[4] 11. Soma tasbeeh …

Soma Zaidi »

Mtu Bora Katika Ummah Huu

Abu Dardaa (Radhiya Allaahu ‘anhu) ametaja: “Siku moja, Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) aliniona nikitembea mbele ya Abu Bakr (Radhiyallahu ‘anhu). “Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) alipoona hili, aliniambia: “Usitembee mbele ya aliye bora kuliko wewe (yaani Abu Bakr (Radhiya Allaahu anhu)” Baada ya hapo Rasulullah (Sallallahu ‘alaihi wasallam) akaeleza fadhila kubwa …

Soma Zaidi »

Mtu Kuona Makazi Yake Peponi

عن أنس بن مالك قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: من صلى علي في يوم الجمعة ألف مرة لم يمت حتى يرى مقعده من الجنة (أخرجه ابن شاهين بسند ضعيف كذا في القول البديع صـ ٣٩٧) Sayyidina Anas (radhiyallahu anhu) ameripoti kwamba Nabii wa Allah (sallallahu alaih wasallam) …

Soma Zaidi »

Sajdah

1. Soma takbira na bila kuinua mikono yako, Kisha nenda kwenye sajdah.[1] 2. Weka mikono (viganja) kwenye magoti huku ukiendelea kwenda kwenye sajdah.[2] 3. Kwanza weka magoti chini, kisha mikono (viganja), na mwisho paji la uso na pua kwa pamoja.[3] 4. Weka mikono yako chini kwa njia ambayo vidole na …

Soma Zaidi »