Siku ya Jumu’ah ina umuhimu mkubwa katika Uislamu. Ni miongoni mwa neema kubwa za Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata’alah) juu ya ummah huu ni sifa adhimu ya Uislamu. Amesema Mtume (sallallahu alaihi wasallam): “Siku ya Jumu’ah ni sayyidul ayyaam (yaani kiongozi wa siku zote na ni siku kubwa zaidi (kuliko siku …
Soma Zaidi »Talhah (radhiyallahu anhu) katika Vita vya Uhud
Zubair bin Awwaam (radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba katika tukio la Uhud, Mtume (sallallahu alaihi wasallam) alivaa vazi la kivita mara mbili. Wakati wa vita, Mtume (sallallahu alaihi wasallam) alikusudia kupanda juu ya jabali lakini kutokana na uzito wa zile vazi mbili, hakuweza kufanya hivyo. Kwa hiyo alimwomba Talhah (radhiyallahu anhu) …
Soma Zaidi »Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 8
28. Waislamu wawili wanapokutana, basi baada ya kutoa salamu, wafanye musaafahah (wapeane mikono). Imepokewa kutoka kwa Abdullah bin Mas’uud (radhiyallahu anhu) kwamba Mtume (sallallahu alaihi wasallam) amesema: “(Wanapokutana Waislamu wawili basi) ukamilisho wa maamkiano yao ni kwamba wafanye musaafahah wao kwa wao.”[1] 29. Wakati wa kufanya musaafaha ni sunna kufanya …
Soma Zaidi »Nafasi Ya Juu Ya Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu) Mbele Ya Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu)
Baada ya kufariki kwa Mtume (Sallallahu alaihi wasallam), Ma answaar walikuwa wamekusanyika huko Thaqifah Bani Saa’idah (bustani ya matunda ya Bani Saa’idah) kumchagua Khaleefah mpia kutoka miongoni mwao. Wakati huo, Abu Bakr na Umar (radhiyallahu anhuma) walikuwa nyumbani kwa Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) na walikuwa hawajui kinachoendelea. Wakiwa nyumbani, Umar …
Soma Zaidi »Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 7
26. Ni adabu kwamba mtu anapotembea na mwingine amekaa, basi anayetembea aanze kutoa salamu wa kwanza. Vile vile, wakati mtu mmoja anapopanda mnyama na mtu mwingine anatembea, basi yule ambaye kampanda mnyama aanze kutoa salamu wa kwanza. Na hivyo, vijana wanapaswa kuwasalimia wazee kwanza, na kikundi kidogo (wale ambao ni …
Soma Zaidi »Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) Akiuonyesha Ummah Nafasi Tukufu Ya Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu)
Rasulullah (Sallallahu alaihi wasallam) wakati fulani alikua amekaa pamoja na Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu), Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu), Abu Ubaidah (Radhiyallahu ‘anhu) na Maswahaba wengineo (Radhiyallahu ‘anhum) na kinywaji kikaletwa kwa Nabi (Sallallahu alaihi wasallam). Nabi (Sallallahu alaihi wasallam) alichukua kinywaji hicho mkononi mwake na akampa Abu Ubaidah (Radhiyallahu …
Soma Zaidi »Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 6
18. Ukiingia kwenye mkusanyiko wenye mazungumzo au majadiliano ya Dini inafanyika, hupaswi kutoa salaam kwa sababu hili litamsumbua mwenye kuongea pamoja na wale waliohudhuria mkusanyiko huo. 19. Ikiwa mtu amezama katika mazungumzo au anajihusisha na baadhi ya mambo basi ni bora mtu asimsalimie. Lakini, ikiwa mtu anajua kwamba hatokuwa na …
Soma Zaidi »Kumcha Allah Taala
Qataadah (rahimahullah) anasimulia kwamba Abu Ubaidah (Radhiya Allaahu ‘anhu) alikuwa akisema, (kwa khofu ya kusimama mbele ya Allah Ta’ala Siku ya Qiyaamah na kutoa hesabu ya matendo yake): وددت أني كنت كبشا، فيذبحني أهلي، فيأكلون لحمي، ويحسون مرقي. “Jinsi ninavyotamani ningekuwa kondoo tu. Wamiliki wangu wangenichinja, kula nyama yangu na …
Soma Zaidi »Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 5
13. Unapotoka nyumbani, toka nyumbani na salamu. Qataadah (radhiyallahu anhu) ameripoti kuwa Rasulullah (sallallahu alaihi wasallam) amesema: “Mkiingia nyumbani, basi wapeni salamu waliomo ndani yake, na unapotoka (nyumbani), basi acha salamu yako kama amana kwa watu wa nyumbani kwako (yaani salamu kwa watu unapoondoka).”[1] Maelezo: Nabii (sallallahu alaihi wasallam) ametufundisha …
Soma Zaidi »Sunnat Na Adabu Za Kuamkiana (Kutoa Salaam) 4
11. Ikiwa kikundi cha watu kinakutana na mtu mmoja, na mmoja kati ya kundi anatoa salaam, basi salaam yake mmoja itatosha kwa niaba ya kundi nzima. Vile vile mtu akikutana na kundi la watu na kuwasalimia, jibu la mtu mmoja kutoka katika kundi litatosha kwa niaba ya watu wote kwenye …
Soma Zaidi »