{"id":3663,"date":"2026-10-17T10:29:23","date_gmt":"2026-10-17T08:29:23","guid":{"rendered":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=3663"},"modified":"2026-10-17T10:30:16","modified_gmt":"2026-10-17T08:30:16","slug":"sunna-na-adabu-kusafiri-7","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=3663","title":{"rendered":"Sunna Na Adabu Kusafiri 7"},"content":{"rendered":"<p>29. Ikiwa unarudi nyumbani baada ya muda mrefu, usirudi bila kutarajiwa. Unapaswa kuwajulisha mapema kuhusu muda utakapofika ili waweze kufanya mandalizi ya kurudi kwako.<\/p>\n<p>30. Ikiwa unarudi usiku sana basi wajulishe nyumbani kabla kuhusu muda uliokadiri kurudi kwako.<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><em>Jaabir (Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alimzuia mtu kurejea kutoka safarini baada ya muda mrefu kujitokeza ghafla usiku (bila ya kuwajulisha wanafamilia mapema).<\/em><\/p>\n<p>31. Usikubali chakula au vitu vingine kutoka kwa watu ambao hauwajuwi.<\/p>\n<p>32. Haijuzu kwa mwanamke kusafiri mwendo wa safar (km 78) bila ya Mahram.<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><em>Imepokewa kutoka kwa Abu Sa\u2019id Khudri (Radhiyallahu anhu) kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) amesema: \u201cHairuhusiwi kwa mwanamke aliyemuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho kusafiri umbali wa siku tatu au zaidi (yaani kilomita 78 au zaidi) isipokuwa kama amefuatana na baba yake au mwanawe, au mumewe, au kaka yake, au ndugu yake ambaye ni Mahram.\u201d<\/em><\/p>\n<p>33. Baada ya kurudi katika mji wako, cha kwanza nenda msikitini na kuswali rakaa mbili.<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><em>Ka\u2019b bin Maalik (radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba wakati wowote Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) akirudi kutoka safarini, alikuwa anakwenda kwanza msikitini na kuswali rakaa mbili.<\/em><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>29. Ikiwa unarudi nyumbani baada ya muda mrefu, usirudi bila kutarajiwa. Unapaswa kuwajulisha mapema kuhusu muda utakapofika ili waweze kufanya mandalizi ya kurudi kwako. 30. Ikiwa unarudi usiku sana basi wajulishe nyumbani kabla kuhusu muda uliokadiri kurudi kwako. Jaabir (Radhiyallahu anhu) anaripoti kwamba Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) alimzuia mtu kurejea kutoka safarini baada ya muda &hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":3558,"comment_status":"closed","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[43,14],"tags":[],"class_list":["post-3663","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","","category-kusafiri","category-sunna-na-adabu"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3663","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=3663"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3663\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":3664,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3663\/revisions\/3664"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/3558"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=3663"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=3663"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=3663"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}