{"id":3637,"date":"2026-09-19T12:38:23","date_gmt":"2026-09-19T10:38:23","guid":{"rendered":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=3637"},"modified":"2026-09-19T12:38:23","modified_gmt":"2026-09-19T10:38:23","slug":"maisha-ya-nabii-isa-alayhis-salaam-baada-ya-kurejea-kwake-na-baraka-kubwa-na-usalama-katika-zama-zake","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=3637","title":{"rendered":"Maisha ya Nabii Isa (alayhis salaam) baada ya kurejea kwake na Baraka Kubwa na Usalama katika zama zake"},"content":{"rendered":"<p>Nabii Isa (\u2018alayhis salaam) atakaporejea duniani, Mahdi (Radhiya Allaahu \u2018anhu) atakuwa kiongozi anayewaongoza Waislamu. Mahdi (Radhiya Allaahu \u2018anhu) atamwambia Nabii Isa (\u2018alaihis salaam) kwamba awaongoze Waislamu, kwa sababu yeye ni Nabii wa Allah Ta\u2018ala. \u00a0(Ibnu Hibbaan #6812, Fitan li-Nu\u2019aim #1028)<\/p>\n<p>Wanajeshi ya Waislamu, chini ya uongozi wa Nabii Isa (\u2018alayhis salaam), watapigana vita na Dajjaal na kundi lake. Nabii Isa (\u2018alayhis salaam) atamuua Dajjaal na Waislamu watakuwa washindi katika vita hii.<\/p>\n<p>Muda si mrefu baada ya hapo Mahdi (Radhiya Allaahu \u2018anhu) atafariki na Nabii Isa (\u2018Alayhis Salaam) ataswali janaazah. Nabii Isa (\u2018alayhis salaam) ataendelea kuishi katika ummah, akitekeleza sharia ya kiislamu na kuwaongoza watu kusilimu. Nabii Isa (\u2018alayhis salaam) ataowa na kupata watoto.<\/p>\n<p>Baada ya muda kupita, Allah Ta\u2019ala atawaachia Ya\u2019juuj na Ma\u2019juuj duniani. Watasababisha ufisadi na uharibifu duniani, popote waendako. Kisha Mwenyezi Mungu (subhaanahu wata&#8217;ala) atawateremshia msiba utakaowafanya wote wafe.<\/p>\n<p>Baada ya Ya\u2019juuj na Ma\u2019juuj kuangamizwa na Allah Ta\u2018ala, Allah Ta\u2019ala atateremsha mvua nyingi, na kusababisha mimea kukua kwa wingi na wanyama kustawi. Watu wa dunia watabarikiwa kwa baraka kubwa sana wakati huo. Kutokana na baraka hii, ukubwa wa matunda na mazao pia utaongezeka. Pia kutakuwa na usalama kamili, kiasi kwamba watu hawatokuwa na hofu ya kudhuriwa na wanyama pori na wenye sumu kali. Mgawanyiko wa watu na ugumvi baina ya watu utakwisha pia kwa sababu uadui na chuki vitatoka kwenye mioyo ya watu.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Nabii Isa (\u2018alayhis salaam) atakaporejea duniani, Mahdi (Radhiya Allaahu \u2018anhu) atakuwa kiongozi anayewaongoza Waislamu. Mahdi (Radhiya Allaahu \u2018anhu) atamwambia Nabii Isa (\u2018alaihis salaam) kwamba awaongoze Waislamu, kwa sababu yeye ni Nabii wa Allah Ta\u2018ala. \u00a0(Ibnu Hibbaan #6812, Fitan li-Nu\u2019aim #1028) Wanajeshi ya Waislamu, chini ya uongozi wa Nabii Isa (\u2018alayhis salaam), watapigana vita na Dajjaal &hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":1910,"comment_status":"closed","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[35],"tags":[],"class_list":["post-3637","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","","category-dalili-za-qiyaamah"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3637","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=3637"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3637\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":3638,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3637\/revisions\/3638"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/1910"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=3637"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=3637"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=3637"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}