{"id":3620,"date":"2026-09-03T12:38:28","date_gmt":"2026-09-03T10:38:28","guid":{"rendered":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=3620"},"modified":"2026-09-03T12:38:28","modified_gmt":"2026-09-03T10:38:28","slug":"sunna-na-adabu-kusafiri-2","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=3620","title":{"rendered":"Sunna Na Adabu Kusafiri 2"},"content":{"rendered":"<p>8. Unaposafiri, hakikisha kwamba unabaki katika kundi la watu wema. Kubaki katika kundi la wachamungu kutakupa muhamasisho wa kubaki kwenye haki.<\/p>\n<p>9. Ikiwa unasafiri katika kikundi, basi uwe na adabu na heshima katika mwenendo wako, na ikiwa una riziki za kutosha, basi gawa riziki yako na wenzako.<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><em>Abu Sa\u2019id (radhiyallahu anhu) anasimulia: Wakati mmoja, tulikuwa safarini pamoja na Mtume (Sallallahu alaihi wasallam). Mtu huyo alikuwa katika shida na taabu na alikuwa akitazama kulia na kushoto ili kuona kama kuna yeyote angeweza kumsaidia katika kumtimizia mahitaji yake. Katika tukio hilo, Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) aliwasihi maswahaabah (Radhiyallahu anhum) akisema, \u201cYeyote aliye na usafiri wa ziada amsaidie yule ambaye hana usafiri wowote. Yule aliye na riziki za ziada naye awasaidie wale wasio na riziki.\u201d Mtume (Sallallahu alaihi wasallam) aliendelea kutaja aina mbali mbali za mali (ambazo mtu anatakiwa kuzitumia katika sadaqah), akiwahimiza na kuwausia Maswahaba watumie kiasi kwamba tulihisi kwamba yulemwenye kitu chochote kinachozidi mahitaji yake hana haki ya kukizuia (badala yake, amgawie wenye haja).<\/em><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>8. Unaposafiri, hakikisha kwamba unabaki katika kundi la watu wema. Kubaki katika kundi la wachamungu kutakupa muhamasisho wa kubaki kwenye haki. 9. Ikiwa unasafiri katika kikundi, basi uwe na adabu na heshima katika mwenendo wako, na ikiwa una riziki za kutosha, basi gawa riziki yako na wenzako. Abu Sa\u2019id (radhiyallahu anhu) anasimulia: Wakati mmoja, tulikuwa &hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":3558,"comment_status":"closed","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3620","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","","category-uncategorized"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3620","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=3620"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3620\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":3621,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/3620\/revisions\/3621"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/3558"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=3620"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=3620"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=3620"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}