{"id":2236,"date":"2024-02-15T18:44:00","date_gmt":"2024-02-15T16:44:00","guid":{"rendered":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=2236"},"modified":"2024-02-26T06:32:45","modified_gmt":"2024-02-26T04:32:45","slug":"sunna-na-adabu-za-dua-5","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=2236","title":{"rendered":"Sunna Na Adabu Za Dua 5"},"content":{"rendered":"<p>12. Baada ya kumaliza dua yako, sema aameen.<\/p>\n<p><em>Abu Musabbih Al-Maqraaiy anasimulia: Wakati mmoja, tulikuwa tumekaa na Abu Zuhair An-Numairi ambaye alikuwa miongoni mwa maswahaabah (radhiyallahu anhum). Alikuwa mfasaha zaidi katika lugha. Wakati mtu yoyote miongoni mwetu alikuwa akishiriki katika dua, alikuwa akisema: \u201cufunge dua hiyo kwa Aamin, kwa sababu Aamin ni kama muhuri kwenye karatasi.\u201d Kisha akasema zaidi, \u201cJe, nisikujulisheni kuhusu hili? Usiku mmoja, tulitoka pamoja na Mtume (sallallahu &#8216;alaihi wasallam) na tukakutana na mtu ambaye alikuwa akishiriki kwenye dua. Mtume (Sallallahu &#8216;alaihi wasallam) akasimama kumsikiliza na akasema: \u2018Ikiwa atafunga dua yake, basi ataufanya Jannah uwe laazim kwake.\u201d Mmoja kati yetu akauliza: \u201cVipi ataifunga (Dua yake)?\u201d Mtume (sallallahu &#8216;alaihi wasallam) akajibu: afunge dua yake na aamin? Akiufunga dua yake na Aamin, basi ameifanya Jannah kuwa faradhi kwake.\u201d Yule ambaye alimuuliza Mtume (sallallahu &#8216;alaihi wasallam) akamwendea mtu huyo na kusema: \u201cEwe fulani na fulani, malizia dua yako kwa kusema Aamin na itikia bashara (ya Mtume sallallahu &#8216;alaihi wasallam).&#8217;\u201d<\/em><\/p>\n<p>13. Baada ya kumaliza dua yako, msalie Rasulullah (sallallahu &#8216;alaihi wasallam).<\/p>\n<p><em>Umar (radhiyallahu &#8216;anhu) anasimulia, \u201cDua inabaki kusimamishwa kati ya mbingu na ardhi. Haifiki mbinguni mpaka salaa na salaam isomwe juu ya Nabi (sallallahu &#8216;alaihi wasallam) (yaani hakuna dhamana ya kukubaliwa kwao).\u201d<\/em><\/p>\n<p>14. Baada ya kumaliza dua, pitisha viganja vyako juu ya uso wako.<\/p>\n<p><em>Umar (radhiyallahu &#8216;anhu) anaripoti kwamba wakati wowote Mtume (sallallahu &#8216;alaihi wasallam) alikuwa akiinua mikono yake kwenye dua, yalikuwa hayashuki mpaka aifute juu ya uso wake.<\/em><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>12. Baada ya kumaliza dua yako, sema aameen. Abu Musabbih Al-Maqraaiy anasimulia: Wakati mmoja, tulikuwa tumekaa na Abu Zuhair An-Numairi ambaye alikuwa miongoni mwa maswahaabah (radhiyallahu anhum). Alikuwa mfasaha zaidi katika lugha. Wakati mtu yoyote miongoni mwetu alikuwa akishiriki katika dua, alikuwa akisema: \u201cufunge dua hiyo kwa Aamin, kwa sababu Aamin ni kama muhuri kwenye &hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":1035,"comment_status":"closed","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[30,14],"tags":[],"class_list":["post-2236","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","","category-dua","category-sunna-na-adabu"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2236","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=2236"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2236\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":2237,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2236\/revisions\/2237"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/1035"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=2236"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=2236"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=2236"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}