{"id":2081,"date":"2024-01-01T06:30:21","date_gmt":"2024-01-01T04:30:21","guid":{"rendered":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=2081"},"modified":"2024-01-02T07:40:26","modified_gmt":"2024-01-02T05:40:26","slug":"imani-madhubuti-ya-ali-radhiya-allaahu-anhu-katika-ahadi-ya-allah-taala","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/sw.alislaam.com\/?p=2081","title":{"rendered":"Imani Madhubuti Ya Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) katika Ahadi ya Allah Ta\u2019ala"},"content":{"rendered":"<p><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" class=\"alignnone wp-image-2083 size-full\" src=\"https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/sw58.jpg\" alt=\"\" width=\"1080\" height=\"1080\" srcset=\"https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/sw58.jpg 1080w, https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/sw58-300x300.jpg 300w, https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/sw58-1024x1024.jpg 1024w, https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/sw58-150x150.jpg 150w, https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/sw58-768x768.jpg 768w, https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/sw58-200x200.jpg 200w\" sizes=\"auto, (max-width: 1080px) 100vw, 1080px\" \/><\/p>\n<p>Imepokewa kwamba siku moja, ombaomba mmoja alikuja kwa Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) na kuomba kitu. Ali (radhiya allaahu &#8216;anhu) alimgeukia mmoja wa wanawe wawili, ima Hasan au Husein (radhiya allaahu &#8216;anhuma), na akamwambia, &#8220;Nenda kwa mama yako na umwambie kwamba nilisema, &#8216;Nilihifadhi dirham sita kwako, basi nipe dirhamu moja katika zile sita (ili nimpe mwombaji).<\/p>\n<p>Mtoto alikwenda kwa mama yake, Faatimah (radhiyallahu \u2018anha), na baada ya hapo akarudi na ujumbe ifuatayo. Akamwambia baba yake, \u201cMama yangu alisema kwamba ulimwekesha dirham sita kwa ajili ya kununua unga.\u201d Aliposikia hivyo, Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) alisema: \u201cImaan ya mja haitakuwa mkweli na mkamilifu mpaka ategemee zaidi yale ambayo yamo mikononi mwa Allah Ta\u2019ala kuliko yale yamo mikononi mwa mtu (yaani mja amtegemee Allah Ta\u2019ala na ahadi Zake kwa kutoa sadaka atabarikiwa na baraka nyingi kwa jambo jema na asizuie mali yake kwa kuhofia umasikini).<\/p>\n<p>Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) akamwambia mwanawe, \u201cNenda kwa mama yako na mwambie anipe dirham sita zote (ili nimpe mwombaji).\u201d Hivyo alikwenda kwa mama yake na kisha akarejea na dirham sita ambazo Ali (Radhiya Allaahu \u2018anhu) alimkabidhi yule mwombaji.<\/p>\n<p>Muda mfupi baadaye, mtu mmoja alipita kwa Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) akiwa na ngamia ambaye alikuwa akiuza. Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) akamuuliza, \u201cUnauza ngamia kwa bei gani?\u201d Yule mtu akajibu, \u201cNinaiuza kwa dirham mia moja na arobaini.\u201d Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) kisha akamnunua ngamia kutoka kwake. Baada ya kumnunua ngamia, Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) alisema: \u201cMfunge ngamia hapa, na tutakulipa baadaye.\u201d Yule mtu akamfunga ngamia na kuondoka zake.<\/p>\n<p>Baadaye, mtu mwingine akapita, na alipomwona ngamia, akauliza, \u201cHuyu ngamia ni wa nani? Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) akajibu, \u201cNi wa kwangu.\u201d Mwanamume huyo akauliza, \u201cJe, unaiuza?\u201d Wakati Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) alipomjibu kwamba anaiuza, mtu huyo aliuliza, \u201cUnaiuza kwa bei gani?\u201d Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) akamjibu, \u201cNinaiuza kwa dirham mia mbili.\u201d Mwanamume huyo aliridhika na bei hiyo na hivyo akakubali ombi hilo na wakamalizana kwa kusema, \u201cNimeinunua kwako.\u201d Kisha akatoa dirham mia mbili na kuumpa Ali (radhiya allaahu \u2018anhu), akamchukua ngamia wake na akaondoka.<\/p>\n<p>Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) akaenda kwa yule mtu aliyemuuzia ngamia na kumlipa dirham mia na arobaini alizokuwa akidaiwa. Baada ya hapo, alirudi nyumbani kwa mke wake mheshimiwa, Faatimah (radhiyallahu \u2018anha), akiwa na dirham sitini alizozipata kama faida (na akampa).<\/p>\n<p>Pindi Faatimah (radhiya allaahu \u2018anha) alipoziona dirham sitini, alimuuliza, \u201cHii ni nini? Pesa hizi zimetoka wapi?&#8221; Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) akajibu: \u201cHaya ndiyo aliyotuahidi Allaah (Ta&#8217;ala) kupitia maneno yafuatayo yameteremshwa kwenye ulimi uliobarikiwa wa Mtume (sallallahu &#8216;alaihi wasallam).\u201d<\/p>\n<p>Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) kisha akasoma aya ifuatayo ya Qur-aan Takatifu:<\/p>\n<p class=\"\" dir=\"RTL\" style=\"text-align: center; font-family: usmaan_taha; font-size: 16pt; line-height: 38px;\">\u0645\u064e\u0646 \u062c\u064e\u0627\u0621\u064e \u0628\u0650\u0627\u0644\u0652\u062d\u064e\u0633\u064e\u0646\u064e\u0629\u0650 \u0641\u064e\u0644\u064e\u0647\u064f \u0639\u064e\u0634\u0652\u0631\u064f \u0623\u064e\u0645\u0652\u062b\u064e\u0627\u0644\u0650\u0647\u064e\u0627<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><em>Mwenye kuleta kheri moja atapata ujira mara kumi (kwa kitendo alichokifanya) (An\u2019aam Aya:160)<\/em><\/p>\n<p>Kwa maneno mengine, Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) alimueleza Faatimah (radhiya allaahu \u2018anha) kwamba alipotumia dirham sita katika sadaqah, Allah Ta\u2019ala alimbariki kwa malipo mara kumi zaidi ya yale aliyotoa, na hivyo sasa alikuwa na dirhamu sitini badala ya dirhamu sita alizozitoa na kuumpa ombaomba. <em>(Hayaat-us-Sahaabah 2\/191)\u00a0<\/em><\/p>\n<audio class=\"wp-audio-shortcode\" id=\"audio-2081-1\" preload=\"none\" style=\"width: 100%;\" controls=\"controls\"><source type=\"audio\/mpeg\" src=\"https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/AUD-20240101-WA0010.mp3?_=1\" \/><a href=\"https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/AUD-20240101-WA0010.mp3\">https:\/\/sw.alislaam.com\/wp-content\/uploads\/2024\/01\/AUD-20240101-WA0010.mp3<\/a><\/audio>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Imepokewa kwamba siku moja, ombaomba mmoja alikuja kwa Ali (radhiya allaahu \u2018anhu) na kuomba kitu. Ali (radhiya allaahu &#8216;anhu) alimgeukia mmoja wa wanawe wawili, ima Hasan au Husein (radhiya allaahu &#8216;anhuma), na akamwambia, &#8220;Nenda kwa mama yako na umwambie kwamba nilisema, &#8216;Nilihifadhi dirham sita kwako, basi nipe dirhamu moja katika zile sita (ili nimpe mwombaji). &hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":2083,"comment_status":"closed","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[25],"tags":[],"class_list":["post-2081","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","","category-sahaabah"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2081","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=2081"}],"version-history":[{"count":4,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2081\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":2088,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2081\/revisions\/2088"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/2083"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=2081"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=2081"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/sw.alislaam.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=2081"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}